Babi: Hawa kina Saido, Pacome freshi tu

NI kweli siku hazigandi, lakini rekodi ya Abdi Kassim ‘Babi’ a.k.a Ballack wa Unguja inaendelea kuishi katika vichwa vya mashabiki wa soka nchini. Ndio. Fundi huyo wa mpira aliyekuwa mahiri kwa kufumua mashuti makali uwanjani akiwatungua makipa, anaendelea kukumbukwa kutokana na rekodi aliyoiweka ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa…

Read More

Charlie Chaplin: Anaendelea kuishi kwa uchale wake

MASHAMBULIZI ya Palestina yanayofanywa na Israel yaliyoua mamia ya watu, huku zaidi ya milioni 2, wakikosa makazibaada ya nyumba zao kuharibiwa, yamewakumbusha watu wa Ulaya na Marekani alichosema msanii wa karne ya 20, Charlie Chaplin. Mchekeshaji huyu wa Uingereza aliyependwa kila pembe ya dunia aliwahi kufukuzwa Marekani kwa kauli zake za kupinga kuundwa taifa la…

Read More

Siri ya Wacolombia wa Azam FC 

KLABU ya Azam imefikisha wachezaji wanne raia wa Colombia hadi sasa ila moja ya jambo usilolijua ni kwamba, mshambuliaji wa timu hiyo, Franklin Navarro aliyesajiliwa Januari mwaka huu ndiye aliyechora ramani ya nyota wengine kusajiliwa. Iko hivi. Baada ya mabosi wa Azam kukamilisha usajili wa Navarro kutokea Cortulua FC ya kwao Colombia, walimtumia nyota huyo…

Read More

Huyu hapa kocha mpya Simba

MWANASPOTI linajua Simba iko kwenye mazungumzo na  kocha Msauzi,Steve Komphela (56) na yamefikia katika hatua nzuri kama ilivyo kwa Mido wa Asec,Serge Pokou. Ni chuma kwa chuma mpaka Simba mpya ikamilike.  Simba wanaamini kwamba anaweza kurithi mikoba iliyoachwa na Mualgeria Abdelhack Benchikha kwani safari hii wanasaka bosi ambaye hana wasifu mkubwa lakini ana uchu wa…

Read More

Simba yavuta mido Muivory Coast

HABARI za uhakika ni kwamba Simba wiki hii itamsainisha kiungo wa Asec Mimosas, Serge Pokou mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh200mil. Hivi karibuni Mwanaspoti liliripoti kuwa Simba imefanya mazungumzo na kiungo huyo panga pangua wa Asec na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje akakipige kwenye kikosi hicho msimu ujao….

Read More

Simba, Yanga zaletewa bure mastaa 22 wa Safari Cup Dar

BAADA ya mchujo mkali kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania hatimaye kikosi cha mastaa wapya vijana 22 wa mashindano hayo ya kuibua vipaji vya soka maarufu kama Kombe la Safari Lager Tanzania wametajwa. Mastaa hayo tayari wameingia kambini jijini Dar es Salaam na watakuwa chini ya malijendi kadhaa wa Tanzania akiwemo winga wa zamani wa Taifa…

Read More

Yanga yavuna nusu bilioni za SportPesa

YANGA mwendo wa fedha tu. Baada ya kujihakikishia kuvuna Sh 600 Milioni kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo, wababe hao wa soka nchini jana wamevuna fedha nyingine zaidi ya nusu bilioni kutoka kwa Mdhamini Mkuu wa klabu hiyo, Kampuni ya SportPesa. SportPesa jana iliikabidhi klabu hiyo mfano wa…

Read More