
Kocha Yanga kutua Kaizer Chiefs
MUDA wowote kuanzia sasa huenda kocha wa zamani wa Yanga, aliyepo kwa sasa FAR Rabat ya Morocco, Nassredine Nabi akatangazwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ili kurithi mikoba ya Molefi Ntseki aliyefutwa kazi. Nabi amekabakiza mechi moja tu ya Ligi Kuu ya Morocco akiwa na FAR Rabat kabla ya kumaliza msimu na tayari inaelezwa…