
Waziri Junior mguu mmoja Ihefu
Kama mambo yakienda sawa, mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake KMC, Waziri Junior anaweza akasaini Ihefu muda wowote, baada ya kurejea kutoka katika majukumu ya Taifa Stars. Mmoja wa kiongozi wa Ihefu, alisema kila kitu kuhusu Junior kinakwenda vizuri, walikuwa wanamsubiri arejee kutoka katika majukumu ya Taifa Stars, ambayo ilikwenda nchini Indonesia. “Kabla ya kuitwa timu ya…