
Mzungu wa Yanga azikumbuka dabi
BAADA ya kudumu kwa msimu mmoja hatimaye kiungo mshambuliaji wa Yanga Princess, Kaeda Wilson anarudi nchini Marekani lakini akiwa na kumbukumbu ya kufunga mabao kwenye mechi za dabi. Kiungo huyo ataondoka nchini mwezi huu kuendelea na masomo kwenye Chuo cha UTAH kilichopo nchini kwao baada ya kucheza Yanga msimu mmoja. Mchezaji huyo hadi raundi ya…