
Kouablan afunika Zambia akiwa Simba
Mshambuliaji wa Simba, Fred Kouablan ameibuka mfungaji Bora wa Ligi Kuu Zambia lakini akiwa nje ya Ligi hiyo kwa muda mrefu. Kouablan, ameibuka kinara wa mabao Zambia kwa mabao yake 14 ambayo hakuna mchezaji aliyeifikia licha ya straika huyo kuondoka nchini humo tangu Januari kwa ajili ya kujiunga na Simba. Na baada ya kutua Simba,…