
Wakosa makazi nyumba zao zikibomolewa Kibaha
Kibaha. Zaidi ya wananchi 100 katika Kata ya Pangani Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani ,wamekosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na tingatinga leo Mei 31, 2024. Wakati wananchi hao wakisema hawakupewa taarifa ya ubomoaji huo, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Fokas Bundara amesema ni wavamizi na kwamba walipewa…