
Simba, Yanga kupitisjha fagio la chuma
DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo huenda zikaacha mijadala kwenye vijiwe vya kahawa. Lakini za ndaani kabisa ni kwamba hilo lazima lifanyike ili mabadiliko yaonekane kwenye pichi msimu ujao wa kimashindano…