Siri ya Geita Gold ikisaka pointi 12
GEITA Gold inazidi kuchanja mbuga katika vita ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu msimu huu, huku ikiendelea kugawa vichapo kwa wapinzani na kutuma ujumbe kuwa imejipanga vyema kwa safari hiyo mpya. Timu hiyo inaongoza Ligi ya Championship ikiwa na alama 22 katika michezo minane ikiwa imeshinda saba na sare moja ikifunga mabao 18 na kuruhusu…