
Uamuzi mgumu ulivyobadili upepo Yanga
YANGA ndio mabingwa tena. Imebeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, ikiendeleza ubabe wake kwenye safari iliyokuwa na mabonde na milima. Yanga imelichukua taji hilo ikiwa na sura fulani tofauti na misimu miwili iliyopita, ikitoka kupitia mabadiliko mbalimbali kwa maana ya namna ya ilivyoanza msimu huu wa 2023/24 na hata muundo wa timu yao….