
Matampi atoa siri ya kumpiku Diarra
KIPA wa Coastal Union ya Tanga, Ley Matampi amefunguka siri ya mafanikio yake ya kuongoza kwa clean sheet, akimtaja kipa wa Yanga Djigui Diarra ambaye amempiku msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, Mkongomani huyo amesema jambo pekee lililomfanya kuwa bora ni ushirikiano wa makocha na wachezaji wenzake. Matampi ambaye ameweka rekodi ya kucheza mechi 24 na…