
Ukizubaa imekula kwako! Vita nne kali mechi za mwisho Ligi Kuu Bara
MARA paap! Ligi imeisha. Timu zote 16 ziko viwanjani leo kuanzia saa 10:00 jioni huku asilimia kubwa zikiombeana dua mbaya. Lakini kuna bato nne za kuvutia zinazosubiriwa kwa hamu. Yanga tayari imeshatangazwa mabingwa baada ya kuutetea kwa mara ya tatu mfululizo na wa 30 kwa ujumla huku Mtibwa Sugar ikishuka daraja. Walima miwa walichapwa mabao…