
Metacha atajwa kutua Ihefu | Mwanaspoti
BAADA ya uwepo wa taarifa za Yanga kutaka kuachana na kipa Metacha Mnata, timu ya Ihefu inahusishwa kuzungumza naye na huenda msimu ujao akawa sehemu ya kikosi chao. Metacha aliwahi kuichezea Singida Big Stars kabla ya kubadilishwa na kuwa Singida Fountain Gate akitokea Yanga, kabla ya kurejea tena Jangwani. Mmoja wa viongozi wa Ihefu, ameiambia…