
Kealey:Mbongo anayeubonda kama Alves Australia
INAWEZEKANA hii ikawa ni mara yako ya kwanza kumsikia beki wa kulia wa Macarthur FC, Kealey Adamson anayecheza soka la kulipwa Australia. Kama ni hivyo basi huyu naye ni Mtanzania anacheza timu hiyo na Charles M’Mombwa ambaye amekuwa akiitwa mara kwa mara kwenye kikosi cha Taifa Stars. Wawili hao ni marafiki na huenda mbeleni wakawa…