
Mlandege yanyooshwa, Mafunzo yabanwa Zenji
NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard Rock katika mfululizo wa mechi za lala salama za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Mlandege ilikumbana na kipigo hicho cha saba kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Mao A, huku Maafande…