
Afcon 2027 yaipaisha bajeti ya michezo
Hii ni bajeti ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa michuano hiyo. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuongezewa fedha kutoka Sh35.4 bilioni kwa mwaka wa fedha 2023/2024 hadi Sh285.3 bilioni kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, imewasilishwa…