Simba na Yanga Zitafute Viwanja Mbadala vya Michezo – Global Publishers
Serikali imetoa wito kwa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC, ambazo kwa sasa hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuhakikisha zinakuwa na viwanja mbadala vya kuchezea michezo yao endapo zitaarifiwa kuacha kutumia uwanja huo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo matukio ya kitaifa au matengenezo. Akizungumza, msemaji wa Wizara…