
Gamondi, Aziz Ki waitisha Dodoma Jiji
HAIJAISHA hadi iishe, hivi ndio unaweza kusema baada ya kocha wa Yanga kutangaza vita kwenye mechi tatu zilizobaki ikiwemo ya kesho dhidi ya Dodoma Jiji kuwa hawajakamilisha ratiba na wanataka rekodi. Kiungo wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki ameungana na kauli ya Gamondi akisisitiza kuwa bado wanayo kazi ya kuendelea kuwapa furaha mashabiki wao bila…