
Banda afunguka kuhusu ndoa yake mpya
BAADA ya maswali mengi juu ya ndoa ya beki wa klabu ya Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, mwenyewe kajitokeza na kufafanua ilivyokuwa. Staa huyu amethibitisha kuachana na mkewe wa kwanza, Zabibu Kiba ikiwa ni moja ya swali linaloulizwa na mashabiki wengi hususan mitandaoni, baada ya kuona picha za harusi yake…