
Namba za Azam siku 108 bila Dube
ZIMETIMIA siku 108 ambazo ni sawa na miezi mitatu bila uwepo wa mshambuliaji Prince Dube ndani ya kikosi cha Azam FC, lakini kinachofurahisha ni Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuendelea kukimbiza tuzo ya ufungaji bora ya Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 15 sawa na Aziz KI wa Yanga. Mara ya mwisho kwa Dube kuitumikia Azam…