JELLAH: Nahodha Stars aliyeteseka kwa miaka 20 kitandani

NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya mahojiano yake na Mwanaspoti akiwa kitandani nyumbani kwake Mei 27, 2019. “Acheni Mungu aitwe Mungu.” Hiyo ni kauli ya aliyekuwa nahodha wa Taifa Stars, Mtagwa iliyoshiriki fainali za Kombe la…

Read More

JKT wababe, Tausi wanapiga hao

BAADA ya JKT kuifunga Vijana ‘City Bulls’ kwa pointi 70-55, kocha wa timu hiyo, Chris Weba amesema pointi 25-13 walizopata katika robo ya tatu, ndizo zilizowapa ushindi. Mchezo huo uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wengi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, ulipigwa kwenye Uwanja wa Donbosco Oster bay. Akiuzungumzia mchezo huo, alisema ulikuwa…

Read More

Watoto Kigoma wanogewa na kikapu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Kigoma, Aq Qassim Anasi amesema idadi ya watoto wanaojifunza mchezo huo imeongezeka. Akizungumza na Mwanaspoti kwa njia ya simu kutoka Kigoima, katibu huyo alisema mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa mara mbili kwa wiki, Jumamosi na Jumapili na wazazi wamekuwa wakiwaruhusu watoto kuja kushiriki katika Uwanja wa…

Read More

Kuziona Yanga, Ihefu buku kumi tu

WAKATI homa ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Ihefu FC ikizidi kupanda, kiingilio katika mchezo huo imetajwa ni Sh10,000. Mchezo huo unaotazamiwa kuwa na upinzani mkali na kusisimua kutokana na ubora wa timu zote, utapigwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha na kiingilio…

Read More

Siri ubora wa Guede | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Joseph Guede amezungumzia mambo manne yaliyomrejesha kwenye fomu haraka, huku akiweka wazi mipango yake msimu ujao. Guede aliyetua Jangwani katika dirisha dogo la usajili lililopita, awali alionekana kuwa na mwanzo mgumu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi, lakini kadri muda unasonga ameonekana kubadili upepo kiasi cha kuwazidi kete mastraika Clement Mzize na…

Read More

Ntibazonkiza anatamba tu Burundi | Mwanaspoti

Kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza ameendelea kuwa lulu katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi baada ya kujumuishwa katika kundi la wachezaji 21 watakaotumika kwa mechi mbili za kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Kenya na Shelisheli mwezi ujao. Ntibazonkiza ni miongoni mwa nyota wawili pekee kutoka Tanzania waliojumuishwa kwenye kikosi hicho cha…

Read More

Straika KVZ hashikiki ZPL, atupia manne akiiua Maendeleo

STRAIKA Suleiman Mwalim Abdallah wa KVZ ameonyesha dhamira ya kubeba kiatu cha dhahabu cha Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kwa msimu huu, baada ya jana Alhamisi kuweka rekodi akitupia mabao manne wakati maafande hao wakiizamisha Maendeleo kwa mabao 7-3. Mabao hayo manne yamemfanya nyota huyo wa KVZ kufikisha 19 na kuzidi kuwaacha washambuliaji…

Read More

Lomalisa: Mziki wa kina Pacome, Yao si mchezo

BEKI wa Yanga, Joyce Lomalisa amesema ujio wa Pacome Zouzoua, Attohoula Yao umechangia kwa kiasi kikubwa timu yao kutwaa taji la tatu mfululizo ambalo ni la 30  tangu wameanza kushiriki Ligi Kuu Bara. Lomalisa ambaye mkataba wake unamalizika msimu huu ametwaa mataji mawili ndani ya Yanga katika misimu ya 2022/23 na 2023/24, ameiambia Mwanaspoti kuwa…

Read More