Ulinzi ndiyo tatizo Mtibwa Sugar

Wakati Mtibwa Sugar ikiwa mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza michezo 27 na kukusanya jumla ya pointi 20, ila inashika nafasi ya nne kwenye timu 16 ambazo zimefunga idadi kubwa ya mabao msimu huu, huku ikionekana kuwa na tatizo kubwa kwenye eneo la ulinzi. Timu hiyo inayopambana na janga la kushuka…

Read More

KMC yaichapa Singida FG, yaisogelea Coastal Union

BAO la Ibrahim Elias dakika ya 20 akimalizia vizuri pasi ya Wazir Junior, limetosha kuipa ushindi KMC wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, ilishuhudiwa nafasi nyingi zikitengenezwa kila upande lakini ilikuwa ngumu kutumiwa…

Read More

Mreno wa Azam akalia kuti kavu

AZAM FC iko mbioni kuachana na Kocha wa Fiziki na Mtaalamu wa tiba za Wanamichezo (physiotherapist), Mreno Joao Rodrigues baada ya msimu huu kuisha huku ikielezwa sababu kubwa ni majeraha ya wachezaji yanayoiandama. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zinasema Joao hayupo kwenye mipango yao msimu ujao huku sababu ikielezwa wachezaji na viongozi kutokuwa na…

Read More

Aucho ataja kilichoibeba Yanga msimu huu 2023/2024

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho amezungumzia jinsi majeraha yalivyompunguzia kasi ya kupambana msimu huu (2023/24), hata hivyo kilichompa faraja ni timu hiyo kunyakua taji la ubingwa mara tatu mfululizo. Aucho ambaye amechukua ubingwa mara mbili akiwa na Yanga aliyojiunga nayo msimu wa 2021/22 akitokea El Makkasa, alisema kuna kitu kimeongezeka kwenye karia yake, tangu…

Read More

Kinzumbi Yanga, Musonda Mazembe dili lipo hivi!

MABOSI wa TP Mazembe wakiongozwa na CEO, Frederic Kitengie wiki hii wametua Makao Makuu ya Yanga yaliyopo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa masuala mawili makubwa, kwanza kubadilishana uzoefu na lingine kujenga urafiki. Kuna dili linakwenda kufanyika mwishoni mwa msimu huu. Taarifa ilizozipata Mwanaspoti ni kwamba, Yanga na TP Mazembe wameanza kujadili namna ya kubadilishana…

Read More

Mbangula naye anajishangaa | Mwanaspoti

WAKATI wadau na mashabiki wakijiuliza kasi ya straika wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula kupungua, mwenyewe amesema naye anashangaa kwanini hafungi tangu alipoifunga Simba. Mbangula alikuwa na muendelezo mzuri wa kufunga mabao lakini tangu amefunga mabao mawili dhidi ya Simba, Machi 6 mwaka huu wakati Tanzania Prisons iliposhinda 2-1, hajaingia tena wavuni. Staa huyo ambaye ni…

Read More