
AKILI ZA KIJIWENI: Arajiga yamemnyookea sasa kazi kwake
HUU unaweza kuwa msimu mzuri wa soka kwa refa wa Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Ahmed Arajiga kutokana na uzito wa michezo aliyochezesha. Ni nadra kuona refa mmoja wa kati akichezesha mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba katika msimu mmoja lakini kwa Arajiga imekuwa tofauti na alichezesha mechi ya…