
Cheki namba za Yanga zilivyoitesa Simba
ACHANA na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi kuanzia pointi hadi mabao ya kufunga mbele ya mabingwa, Yanga huku namba na ufanisi uwanjani pia vikiwa mtihani kwa Simba. Yanga imetwaa taji la 30 na la tatu mfululizo msimu…