
Machupa: Simba ya 1999 inaweza kujirudia
WAKATI Simba ikikosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa ameitaka usajili ujao kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji, kiungo na beki wa kati kwa kutafuta wachezaji bora watakaoisaidia kubeba ubingwa. Machupa ambaye amestaafu soka la ushindani, amesema kati ya mwaka 1999 hadi 2007 Simba ilisuka…