
Yanga yafuata kipa jeshini, ni mrithi wa Metacha
MOJA ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba moja wa timu ya Jeshi la Magereza, Tanzania Prisons. Mabosi wa Yanga wanajipanga kuvamia katika klabu hiyo yenye maskani yake mkoani Mbeya ikimfuata kipa namba moja wa kikosi hicho, Yona Amos ambaye msimu…