
Copco yashinda, yasaka sare kubaki Championship
Mwanza. COPCO FC imeanza kwa ushindi nyumbani ili kubaki Ligi ya Championship kwa kuifunga Stand United ‘Chama la Wana’ mabao 2-0 huku ikihitaji sare katika mchezo wa marudiano ili kubaki kwenye ligi hiyo msimu ujao. Mchezo huo wa mtoano (playoff) kusaka nafasi ya kubaki Ligi ya Championship umechezwa leo Mei 8, 2024 katika Uwanja wa…