
Mbappe kucheza mechi yake ya mwisho akiwa na PSG mjini Paris – DW – 06.05.2024
Jumanne ya wiki hii utachezwa mchezo wa mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa barani Ulaya kati ya PSG na Borussia Dortmund mjini Paris, Ufaransa wakati nyota wa kalbu hiyo ambayo mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa Ligue 1 Kylian Mbappe anatarajiwa kucheza mchezo wake wa mwisho katika uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo Parc De…