
Vigogo wa Coastal wameamua, waanza na uwanja
Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, Steven Mguto amesema wanatarajia kuanzia Agosti, mwaka huu, wataanza kutumia uwanja wao kwa ajili ya mazoezi, huku akieleza kuwa msimu huu wanaitaka nne bora na taji la Kombe la Shirikisho (FA). Coastal Union imefuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho, ambapo inatarajia kukutana na Azam kusaka nafasi ya kutinga…