
Mgunda: No Chama, No problem
WAKATI mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha mkuu wa wekundu hao wa Msimbazi, Juma Mgunda anaamini wanaweza kufanya makubwa zaidi katika michezo saba iliyosalia kabla ya msimu 2023/24 kumalizika bila ya uwepo wa baadhi ya mastaa akiwemo Clatous…