
Mashujaa kumwaga noti kwa mastaa kuiua Yanga
WAKATI Mashujaa FC ikibakiza mechi sita kujua hatima yake Ligi Kuu Bara, uongozi wa timu hiyo umesema utaongeza dau kwa wachezaji ili kuhakikisha kuanzia mechi ijayo dhidi ya Yanga hawaachi kitu kukwepa aibu ya kushuka daraja. Mashujaa iliyopanda Ligi Kuu msimu huu kupitia mchujo (play Off) ilipoishusha Mbeya City kwa jumla ya mabao 3-1, kwa…