
Tshabalala amliza Mtunisia | Mwanaspoti
YANGA imemsajili na kumtambulisha beki wa kushoto wa zamani wa Kagera Sugar na Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, anayeendelea na majukumu ya kuitumikia timu ya taifa, Taifa Stars inayoshiriki michuano ya CHAN 2024, lakini kuna kocha mmoja ameshtushwa na usajili huo. Tshabalala aliyeitumikia Simba kwa misimu 11 tangu 2014 alipotua akitokea Kagera Sugar amepewa mkataba wa…