Uchunguzi walionaswa na nyara za Sh3.3 bil bado bado

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha nyara za Serikali ikiwemo mifupa 1,107 ya Simba zenye jumla ya thamani ya Sh 3.3 bilioni, inayowakabili washtakiwa 12 wakiwemo waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Washtakiwa hao ikiwemo kampuni ya usafirishaji ya AB Marine Products…

Read More

Kitasa kung’oka Azam FC | Mwanaspoti

Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na uhakika wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata kutoka ndani ya timu hiyo zilieleza nyota huyo aliyekuwa nje ya uwanja tangu Oktoba mwaka jana kutokana na majeraha…

Read More

Mandonga humwambii kitu kwa Pacome Yanga

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’, amefichua kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Yanga huku akibainisha kwamba, mchezaji ambaye huwa anapenda kumuangalia anavyocheza ni kiungo wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua. Mandonga amesema kwamba, kabla ya Pacome, alikuwa akivutiwa zaidi na mastaa waliotimka kwenye timu hiyo, Feisal Salum…

Read More

Gamondi afichua jambo Yanga | Mwanaspoti

HESABU za Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mapema tu kadiri iwezekanavyo na ndiyo maana amefichua kuwa na dozi maalum kwa wachezaji wake kwenye uwanja wa mazoezi ili kila mmoja kuwa fiti na tayari kwa mchezo ambao atataka kumtumia. Baada ya kutolewa wiki chache zilizopita katika hatua ya…

Read More

Azam FC, Namungo mechi ya kisasi

MCHEZO mmoja wa kukamilisha hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) utapigwa leo kati ya wenyeji, Azam FC itakayoikaribisha Namungo kuanzia sasa 1:00 usiku, mechi itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Mshindi wa mchezo huo ataenda kukutana na Coastal Union iliyoitoa Geita Gold kwa bao 1-0 katika hatua ya…

Read More

Guede ni habari nyingine Yanga, awapiga bao Mzize, Musonda

Ni kama gari limewaka zaidi kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari  kwenye kikosi cha timu hiyo kinachonolewa na Kocha Miguel Gamondi. Awali Guede alionekana kuwa na mwanzo mgumu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi lakini kadiri muda ulivyokuwa ukisogea ameonekana kubadili upepo wa mambo…

Read More

Wiki tatu za jasho Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kwa sasa wanaishi kwa kupiga hesabu za vidole kabla ya kutetea ubingwa ambao utakuwa wa 30 tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo. Ni wiki tatu za jasho kabla ya Mei 22. Yanga wapo kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24,…

Read More

SPOTI DOKTA: Mei mosi na tishio afya za wachezaji

Kila Mei Mosi kwa mwaka inaadhimishwa siku ya kimataifa ya wafanyakazi duniani. Chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa (UN), Tanzania na nchi duniani iliyoazimisha siku hiyo hapo jana. Wadau na wamichezo nao ni sehemu ya maadhimisho hayo ambayo kitaifa yalifanyika jijini Arusha. Sikuya wafanyakazi iliwekwa mahsusi ili kutambua michango ya wafanyakazi duniani na vilevile…

Read More