
Pacome afunga bandeji goti aliloumia
LICHA ya kuonekana kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho (FA), kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ameonakana akiwa amefunga bandeji ya bluu kwenye goti aliloumia zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Pacome aliumia Machi 17 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC ambao Yanga ilipoteza kwa mabao 2-1….