
Rekodi ya Pacome kwa Al Ahly bado inaishi
Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kuifunga Al Ahly. Pacome alifunga bao dakika ya 90+1 katika sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa Kundi D uliochezwa Desemba 2, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Al Ahly ambayo jana…