
Dodoma Jiji yaizamisha KMC, yapaa kibabe
BAO la Paul Peter limetosha kuipandisha Dodoma Jiji kwa nafasi tatu juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kutoka nafasi ya 10 hadi ya nane baada ya kufikisha pointi 28. Bao la Peter lililofungwa kipindi cha kwanza na kudumu hadi dakika zote 90 za mchezo, limeifanya Dodoma Jiji kukusanya pointi zote sita kwa KMC ambao…