
Pisi kali za ulingoni | Mwanaspoti
DUNIA imejaa warembo kibao wanaotwanga makonde kama Natasha Jonas, Amanda Serrano au yule Claresaa Shield na ukiwakuta nje ya ulingo katika mitoko yao mingine, katu huwezi kukubali kama hao ni kinadada wachapa vitasa. Haikuwa rahisi pia hata kwa Tanzania hasa kwa mabondia wa kike kuonekana katika upande wa pili wa urembo na fasheni ikiwachukua kwani…