
Manji: Tatizo la Simba ni mtu huyu
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba ni mtu huyu.” Yanga ikiwa mwenyeji kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni, ilifanikiwa kuichapa Simba mabao…