
Tiketi ya Pamba kurejea Ligi Kuu iko Arusha
Pamba Jiji FC inakabiliwa na mechi mbili za Ligi ya Championship ugenini mkoani Arusha ambazo ni lazima kushinda zote ili kurejea tena Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja zaidi ya miaka 20 iliyopita. Timu hiyo inashika nafasi ya pili kwa alama 61 tofauti ya alama tatu dhidi ya kinara Ken Gold FC yenye alama…