
Yanga waitana Dar kujadili mambo yao
WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026 haujaanza. Wanayanga wanatarajiwa kukutana katika Mkutano Mkuu ulioitishwa na uongozi wa klabu hiyo utakaofanyika Septemba 7, 2025 kwenye Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)…