
NBC yanogesha Derby Kariakoo, Aziz Ki aibuka mchezaji bora Machi
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League juzi Jumamosi ilinogesha shangwe za mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kwa kuwapeleka uwanja wa Benjamin Mkapa wateja wake ili kushuhudia mtanange huo ulioisha kwa timu ya Yanga SC kuibuka na ushindi…