
Yanga yaitawala Simba nje ndani
Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu unazidi kuikaribia Yanga na sasa inahitajika kupata ushindi katika mechi tano na sare moja kati ya mechi nane ilizobakiza ili ijihakikishie ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo pasipo kutegemea matokeo ya timu nyingine, lakini jingine kubwa ni matokeo ya jumla ya mabao 7-2 na pointi sita ambavyo Wananchi…