
BABA BACCA: Nilitaka awe mshambuliaji, ila hajamzidi mdogo wake
KAMA ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’. Kuna wakati unamwacha mtoto au mtu wako wa karibu kufanya kile anachokipenda zaidi hata kama wewe hukipendi kwa sababu yeye ndie anayekifanya. Lakini tunaambiwa ni bora kumwacha mtu afanye anachokipenda…