Yanga SC waingia Mkataba na ATCL, watanufaika hivi

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC leo wameingia mkataba wa miaka miwili wa ushirika na shirika la ndege la Air Tanzania(ATCL). Katika ushirika huo Klabu ya Yanga italitangaza shirika hilo na watapata punguzo la bei kwa safari zao zote za ndege watakazofanya na shirika hilo.Mkataba huo wa Yanga na ATCL umesainiwa na Rais wao…

Read More

Picha: GSM afika China kushuhudia maonesho ya Canton Fair 2024

Ikiwa Silent Ocean ltd ‘Simba wa Bahari’ kutangaza Good news ya kuwarahisishia wateja wao wote pindi wanapoingia nchini China kwaajili kufanya manunuzi ya bidhaa zao kwenye maonesho Makubwa ya Kimataifa ya Biashara Canton Fair 2024. Sasa hapa nimekusogezea picha mbalimbali zikionesha Watanzania waliopokelewa na Silent Ocean Ltd, pia zikiwemo za Mfanyabiashara na Rais kampuni ya…

Read More

Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga

WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba watani wao Yanga. Ndani ya kikosi cha Yanga kuna mastaa sita ambao waliwahi kutajwa kutakiwa na Simba lakini ghafla watani wao wakajibebea kiulaini…

Read More

Pisi kali za ulingoni | Mwanaspoti

DUNIA imejaa warembo kibao wanaotwanga makonde kama Natasha Jonas, Amanda Serrano au yule Claresaa Shield na ukiwakuta nje ya ulingo katika mitoko yao mingine, katu huwezi kukubali kama hao ni kinadada wachapa vitasa. Haikuwa rahisi pia hata kwa Tanzania hasa kwa mabondia wa kike kuonekana katika upande wa pili wa urembo na fasheni ikiwachukua kwani…

Read More

Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50

WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba ubingwa. Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Awadh Maulid Mwita alisema jana kuwa bingwa wa mashindano…

Read More

Simba yafuata mrithi wa Saido Asec

BAADA ya kipigo cha mabao 2-1, wekundu wa Msimbazi Simba wameamua kuingia sokoni kusaka mashine mpya na sasa iko mezani na kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Pokou Serge. Mwanaspoti linajua Simba inataka huduma ya kiungo huyo kiraka ili aje kufanya mambo mawili kutumika kama winga wa kushoto, pia kama kiungo mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa…

Read More