
MNYAMA KATEPETA TENA MBELE YA WANANCHI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KLABU ya Yanga imeendelea kutamba mbele ya watani wao Simba Sc mara baada ya kufanikiwa kuichapa 2-1 kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo ambao Yanga walianza kupata bao kupitia kwa Aziz Ki kwa mkwaju wa penati baadae Joseph Guede kupachika bao la pili akipokea pasi…