
Al Ahly yatanguliza mguu fainali ya CAFCL
Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka pazuri timu hiyo ya Misri katika na nafsi ya kutinga fainali ya 17 tangu mwaka 1987. Katika mechi ya mkondo wa kwanza ya nusu fainali iliyopigwa jioni ya leo Jumamosi…