
Nyota Lille awafuata Ronaldo, Messi wapya Bongo
NILETEENI wachezaji wa maana’. Ndivyo alivyoagiza mchezaji wa zamani wa Lille ya Ufaransa, Souleymane Youla ambaye Juni mwaka huu, atatua nchini akiongoza jopo la maskauti kutoka barani Ulaya kwa kazi moja tu kuhakikisha wanaondoka na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wapya kutoka Tanzania. Youle ambaye kwa sasa amejikita katika kutafuta vipaji huku akifanya kazi kwa…