
Ninja ile ishu ya Fei Toto, nilipakaziwa tu!
BEKI wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuna jambo amejifunza kutokana na kupata nafasi ya kucheza nje kwa awamu mbili tofauti, linalompa nguvu ya kutoogopa changamoto anazokutana nazo. Katika mahojiano yake na Mwanaspoti, Ninja anasema kwa mara ya kwanza alipoondoka nchini mwaka 2019 kwenda kujiunga na LA Galaxy II ya Marekani…