
Mabondia wanaomiliki ndinga zao | Mwanaspoti
ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki maarufu bodaboda ambazo wapo baadhi wamefanya ni biashara yao.Lakini miaka ya sasa mambo yamebadilika kwani wapo baadhi ya mabondia wakali wanaomiliki na kuendesha ndinga zao wenyewe ambazo zimetokana na mchezo…