
DR Congo yazinduka CHAN, yainyoa Zambia
BAADA ya kupoteza mechi ya kwanza ya mashindano ya CHAN 2024 inayoendelea kutimua vumbi ukanda wa Afrika Mashariki, DR Congo imepata ushindi wa kwanza jioni hii dhidi ya Zambia. DR Congo ilianza michuano hiyo ilichapwa katika mechi ya kwanza dhidi ya wenyeji, Kenya ambao usiku huu wapo uwanjani kutupa karata ya pili katika michuano hiyo….