
Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’ la kutopata nafasi ya kushiriki mashindano mbali mbali yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi…